Loading...

WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA, MKOANI LINDI

Loading...
WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA, MKOANI LINDI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA, MKOANI LINDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA, MKOANI LINDI
link : WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA, MKOANI LINDI

soma pia


WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA, MKOANI LINDI

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea, kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo aliamua kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, Desemba 28, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwananchi wa kijiji cha Mibure, Mzee Menrad Kilian, baada ya kukagua ujenzi wa zahanati kijijini hapo, wilayani Ruangwa mkoani Lindi, Desemba 28, 2017. 
 Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mibure, wakati alipoenda kukagua ujenzi wa zahanati ya kijiji hicho Desemba 28, 2017. Waziri Mkuu yupo jimboni kwake kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka.
 Mkurugenzi Mtendaji wa KALIF Construction, Ally Mohamed Libaba akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati) wakati wakijaribu kuvuta maji kutoka kwenye pampu ya mradi wa maji wa kijiji cha Namakuku, Desemba 28, 2017. Wa kwanza kulia ni msimamizi wa mradi huo, Bw. Fadhil Ally Libaba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA, MKOANI LINDI

yaani makala yote WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA, MKOANI LINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA, MKOANI LINDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/waziri-mkuu-akukagua-miradi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA, MKOANI LINDI"

Post a Comment

Loading...