Loading...

DK.MABODI AIPONGEZA SMZ

Loading...
DK.MABODI AIPONGEZA SMZ - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.MABODI AIPONGEZA SMZ, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.MABODI AIPONGEZA SMZ
link : DK.MABODI AIPONGEZA SMZ

soma pia


DK.MABODI AIPONGEZA SMZ

NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar kimesema mafanikio yliyofikiwa na Serikali ya awamu ya Saba chini ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ni kielelezo tosha cha kuenzi kwa vitendo Mapinduzi hayo ya Januari 12, mwaka 1964.

Udhibitisho huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadalla ‘Mabodi’ wakati akitoa tathimini yake juu ya hotuba ya Rais wa Zanzibar Dk.Shein aliyoitoa katika kilele cha wamaadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi zilizofanyika Uwanja wa Amaan Mjini hapa.

Dk. Mabodi alisema mambo yaliyotajwa katika hotuba hiyo ni sehemu ya mafanikio ambayo kila mwananchi anatakiwa kujivunia kwani ni hatua ya maendeleo yanayotokana na utekelezaji mzuri wa Ilani ya Uchaguzi CCM ya mwaka 2015/2020 kwa wananchi wote.

Alisema serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetekeleza mambo mbali mbali ya kimaendeleo bila kujali changamoto na vikwazo vya kisiasa kwa lengo la kurahisisha upatanaji wa huduma za msingi kwa wananchi waliopo mijini na vijijini.

Alieleza kuwa mambo yaliyotolewa ufafanuzi wa kina ndani ya hotuba hiyo ya Dk.Shein ni pamoja na kuimarika kwa sekta ya uchumi ambapo makusanyo ya mapato yamefikia shilingi bilioni 548.571 kwa mwaka 2017 ikilinganishwa na shilingi bilioni 487.474 zilizokusanywa katika mwaka 2016.



Hivyo makala DK.MABODI AIPONGEZA SMZ

yaani makala yote DK.MABODI AIPONGEZA SMZ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.MABODI AIPONGEZA SMZ mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/dkmabodi-aipongeza-smz.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.MABODI AIPONGEZA SMZ"

Post a Comment

Loading...