Loading...
title : HANANASIFU JOGGING WATOA MSAADA KWA YATIMA DAR
link : HANANASIFU JOGGING WATOA MSAADA KWA YATIMA DAR
HANANASIFU JOGGING WATOA MSAADA KWA YATIMA DAR
Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Kawawa Kata ya Hananasifu Elizabeth Masao akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, katika hafla ya kukabidhi vya kula kwa watoto yatima wa Kituo cha Maunga Centre vilivyotolewa na kikundi cha Hananasifu Jogging Club Kinondoni.
Mwenyekiti wa Jogging Club Kinondoni Majani Mrope akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, katika hafla ya kukabidhi vya kula kwa watoto yatima wa Kituo cha Maunga Centre.
Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Kawawa Kata ya Hananasifu Kinondoni Elizabeth Masao, akikabidhi baadhi ya vitu kwa mtoto anaelelewa na kituo cha yatima cha Maunga Centre Thabiti Amili, vilivyotolewa na kikunda cha Hananasifu Jogging Club Kinondoni.

Baadhi ya wana kikundi cha Hananasifu Jogging Club Kinondoni, wakimkabidhi vitu.
Hivyo makala HANANASIFU JOGGING WATOA MSAADA KWA YATIMA DAR
yaani makala yote HANANASIFU JOGGING WATOA MSAADA KWA YATIMA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HANANASIFU JOGGING WATOA MSAADA KWA YATIMA DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/hananasifu-jogging-watoa-msaada-kwa.html
0 Response to "HANANASIFU JOGGING WATOA MSAADA KWA YATIMA DAR"
Post a Comment