Loading...
title : DIAMOND NA HAMISA WAMALIZA TOFAUTI ZAO
link : DIAMOND NA HAMISA WAMALIZA TOFAUTI ZAO
DIAMOND NA HAMISA WAMALIZA TOFAUTI ZAO
Msanii wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefika katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa ajili ya kufuatilia kesi ya matunzo na mtoto wao na Hamisa Mobeto.

Msanii wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ akifika katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya usuruhisho wa matunzo ya mtoto wao aliyezaa na Hamisa Mobeto.
Hamisa Mobeto akiwa kwenye mahakamani kisutu leo
Msanii wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutoka ustawi wa jimii kwa ajili ya kwaajili ya usuruhisho wa matunzo ya mtoto wao aliyezaa na Hamisa Mobeto leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala DIAMOND NA HAMISA WAMALIZA TOFAUTI ZAO
yaani makala yote DIAMOND NA HAMISA WAMALIZA TOFAUTI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DIAMOND NA HAMISA WAMALIZA TOFAUTI ZAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/diamond-na-hamisa-wamaliza-tofauti-zao.html
0 Response to "DIAMOND NA HAMISA WAMALIZA TOFAUTI ZAO"
Post a Comment