Loading...

TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI

Loading...
TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI
link : TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI

soma pia


TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI

Hussein Makame, NEC

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema uamuzi wa kuhamisha vituo 46 vya kupigia kura katika jimbo la Kinondoni umezingatia matakwa ya kanuni za Uchaguzi kwa kuvishirikisha vyama vyote vya siasa ikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani jijini Dar es Salaam, kufuatia taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya magazeti zinazodai kuwa Chadema hakikushirikishwa katika uamuzi wa kuhamisha vituo hivyo.

Alisema kabla ya uamuzi wa kubadilisha vituo hivyo, Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kinondoni iliitisha mkutano na vyama vya siasa tarehe 30 Januari, 2018 na wawakilishi 26 walishiriki kwenye mkutano huo wakiwemo wawakilishi wa Chadema.

“Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kushirikiana na vyama vya siasa katika kikao kilichofanyika tarehe 30 mwezi Januari mwaka huu walikubaliana kuhamisha vituo 46 na katika vituo hivyo vituo 16 viko kata ya Kigogo, vituo 8 viko kwenye kata ya Mwananyamala na vituo 22 viko kwenye kata ya Kijitonyama” alisema Kailima.

Alifafanua kuwa kwa mujibu wa kifunga cha 21 (1) cha kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, vituo vya kupigia kura havitakiwa kuwa kwenye maeneo ya watu binafsi, nyumba za mashabiki wa vyama vya siasa au maeneo ya majeshi na ibada.

“Nimesikitishwa na kauli ya Chadema eti hawakushirikishwa, nimesikitishwa kwa sababu kumbukumbu za mikutano zilizopo tarehe 30 Januari mwaka huu, chama cha Chadema kiliwakilishwa na Mwenyekiti wa Wilaya Bw. Mustafa Muro pamoja na Katibu wa Wilaya Bw. Shabani Kirita” alibainisha Kailima.



Hivyo makala TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI

yaani makala yote TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/tume-ya-uchaguzi-nec-yajibu-upotoshwaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI"

Post a Comment

Loading...