Loading...

IBRAHIM "IBRACADABRA" AJIB MIGOMBA NI MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE!!!

Loading...
IBRAHIM "IBRACADABRA" AJIB MIGOMBA NI MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE!!! - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IBRAHIM "IBRACADABRA" AJIB MIGOMBA NI MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE!!!, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IBRAHIM "IBRACADABRA" AJIB MIGOMBA NI MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE!!!
link : IBRAHIM "IBRACADABRA" AJIB MIGOMBA NI MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE!!!

soma pia


IBRAHIM "IBRACADABRA" AJIB MIGOMBA NI MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE!!!

Kama kuna mchezaji Mtanzania kwasasa mwenye kipaji cha kipekee na anaekubalika na wachezaji, wapenzi na viongozi wa SIMBA na YANGA basi ni AJIB.

Wazazi wa AJIB walifanya makosa kumzaa AJIB kipindi hiki. Huyu alipaswa kuzaliwa enzi za vipaji visivyo vya kawaida, enzi za MBWANA ABUSHIRI "Director", EMIL KONDO "Mzungu", JOHN LYIMO, SUNDAY MANARA "Computer", GIBSON SEMBULI, LEODGAR TENGA, ABDALLAH KIBADEN, KHALID ABEID, WILL MWAIJIBE, NICO NJOHOLE nk.

SIFA ZA AJIB:

1. Ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa "kuupaka rangi mpira".

2. Ni mchezaji asiye na mpinzani kwenye mipira iliyokufa (Deadliest dead-ball specialist). 

3. Ni mchezaji mwenye kupiga krosi nzuri kuliko wote Ligi Kuu.

4. Ni mchezaji mwenye uwezo wa kufunga magoli ya kila aina.

5. Ni mchezaji asiye na uchoyo mwenye kupenda kusaidia wenzake wafunge .

6. Ni mchezaji mwenye assists nyingi kuliko wote katika Ligi Kuu (15).

7. Ni mchezaji aliyepewa TZS 3M msimu wa 2015/16 baada ya "kukokota kijiji" na kufunga goli la msimu.

8. AJIB msimu huu tu anazo FIVE goal of the season contanders!!

9. Tarehe 14.3. 2017, Zacharia Hanspope alimpatia TZS 200.000 mtoto aitwae AZIZ GASI kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma baada ya kujiandika jina AJIB mgongoni na Hanspope kukiri kuwa hata yeye anakunwa sana na maufundi ya Mtaalam AJIB.

10. HAJI MANARA, tarehe 19.4.2018, alisema "AJIB NI MZURI MARA TATU ZAIDI YA SAMATTA"
"AJIB anaanza vizuri sana msimu lakini akiishakuwa MFALME anapumzika. AJIB hapendi kabisa mazoezi. Kama angependa mazoezi, AJIB ni mzuri mara tatu zaidi ya MBWANA SAMATTA".
HAJI MANARA, 19.4.2018

11.  Wapenzi wa Yanga wanamkubali sana AJIB na jezi zake zinanunuliwa kama njugu na hata alipokosa penati jana alipigiwa makofi tofauti na ilivyokuwa MSUVA alipokuwa akikosa penati!!!.

AJIB,  kama binadamu mwingine,  ana udhaifu wake. Kama alivyosema HAJI, AJIB ni mvivu sana wa mazoezi. Lakini kwavile Yanga ina kocha bora sana, tatizo hilo linaonekanakupatiwa ufumbuzi. Kocha Zakhera amempa unahodha kitu ambacho kinamfanya kutobweteka na kuwajibika zaidi. HONGERA SANA MWINYI kwa uamuzi huo!


Hivyo makala IBRAHIM "IBRACADABRA" AJIB MIGOMBA NI MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE!!!

yaani makala yote IBRAHIM "IBRACADABRA" AJIB MIGOMBA NI MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE!!! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IBRAHIM "IBRACADABRA" AJIB MIGOMBA NI MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE!!! mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/ibrahim-ibracadabra-ajib-migomba-ni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IBRAHIM "IBRACADABRA" AJIB MIGOMBA NI MCHEZAJI MWENYE KIPAJI CHA KIPEKEE!!!"

Post a Comment

Loading...