Loading...
title : Vanessa Mdee aungana na mastaa maarufu duniani wanaomiliki majukwaa ya mtandaoni
link : Vanessa Mdee aungana na mastaa maarufu duniani wanaomiliki majukwaa ya mtandaoni
Vanessa Mdee aungana na mastaa maarufu duniani wanaomiliki majukwaa ya mtandaoni
Vee Money App katika kilele cha maendeleo ya mziki Afrika na dunia nzima
Vanessa Mdee anaungana na mastaa maarufu duniani ambao wanamiliki ‘majukwaa ya mtandaoni’ ya kuwasiliana na mashabiki wao
Je unafahamu kitu gani kinachowafananisha Taylor Swift, Ciara, na Vanessa Mdee? Naam, pamoja na kwamba wote ni wasanii wenye sauti nzuri na vipaji vikubwa, wote watatu wanamiliki majukwaa ‘app’ za kuwasiliana na mashabiki wao mtandaoni.
Hii ni njia mpya inayotumiwa na wasanii wakubwa ambao wana mashabiki wengi katika mitandao ya kijamii kama Facebook na Instagram, ukweli ni kwamba pamoja na mitandao hiyo mikubwa ya kijamii kutengeneza mabilioni ya dola kila mwaka wasanii hawapati mapato ya moja kwa moja kutokana na biashara hiyo.
Sababu nyingine kubwa ambayo inawafanya wasanii kama Kim Kardashian kuwa na majukwaa yao mtandaoni ‘app’ ni kwa sababu hawamiliki mashabiki wao wa mtandaoni ila mitandao ya kijamii ndiyo ina haki juu ya watu wanaoitumia, hii inamaanisha msanii mkubwa akifungiwa akaunti yake ya Facebook au Instagram anaweza kukosa njia ya kuwasiliana na mashabiki wake (Rob Kardashian ni mfano halisi).
Pamoja na ukweli kwamba majukwaa‘app’ pia zinaruhusu wasanii maarufu kuuza bidhaa mbalimbali na tiketi kwenye simu za mkononi lakini cha muhimu zaidi, inasaidia wasanii kufaidika kutokana na makampuni makubwa kutangaza kupitia majukwaa yao.

Hivyo makala Vanessa Mdee aungana na mastaa maarufu duniani wanaomiliki majukwaa ya mtandaoni
yaani makala yote Vanessa Mdee aungana na mastaa maarufu duniani wanaomiliki majukwaa ya mtandaoni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vanessa Mdee aungana na mastaa maarufu duniani wanaomiliki majukwaa ya mtandaoni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/vanessa-mdee-aungana-na-mastaa-maarufu.html
0 Response to "Vanessa Mdee aungana na mastaa maarufu duniani wanaomiliki majukwaa ya mtandaoni"
Post a Comment