Loading...

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU

Loading...
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU
link : JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU

soma pia


JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU

Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CF) Billy Mwakatage, akipokelewa na Maafisa wa Jeshi hilo pamoja na mwenyeji wake ambaye ni mmiliki wa Yatch Club Bw. Brian Fernandes, alipokwenda kufunga mafunzo ya uzamiaji majini kina kirefu daraja la pili kwa Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Mafunzo hayo yalikuwa yakifanyika katika kisiwa cha Bongoyo kilichopo ndani ya bahari ya hindi, Jijini Dar es Salaam.
Mzamiaji wa kikosi maalum cha Uokoaji majini wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Sajini Gift Longwe, akionesha mbinu mbalimbali za uzamiaji majini kwenye kina kirefu walizojifunza toka kwa wakufunzi kutoka nchini Ujerumani,  kwa mgeni rasmi Kamishna wa Operesheni wa Jeshi hilo, (CF) Billy Mwakatage (hayupo pichani). Wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya uzamiaji majini kina kirefu daraja la pili kwa Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, mapema leo Jijini Dar es Salaam. 
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CF) Billy Mwakatage (katikati), akimkabidhi cheti mmoja ya wahitimu wa mafunzo ya uzamiaji majini kina kirefu, Sajini Gift Longwe (kushoto). Wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya uzamiaji majini kina kirefu daraja la pili kwa Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, mapema leo Jijini Dar es Salaam. 
Wazamiaji wa kikosi maalum cha Uokoaji majini wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Sajini Gift Longwe (kushoto) na Koplo Siwizan Kazimoto (kulia), wakionesha umahili wao wa uzamiaji majini kwenye kina kirefu mbele ya mgeni Kamishna wa Operesheni wa Jeshi hilo, (CF) Billy Mwakatage (hayupo pichani). Wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya uzamiaji majini kina kirefu daraja la pili kwa Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, mapema leo Jijini Dar es Salaam. (Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)



Hivyo makala JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU

yaani makala yote JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/jeshi-la-zimamoto-na-uokoaji-lafunga_7.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU"

Post a Comment

Loading...