Loading...
title : KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB: MAANDALIZI YA KUANGA MWILI WA AGNES MASOGANGE YAENDELEA
link : KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB: MAANDALIZI YA KUANGA MWILI WA AGNES MASOGANGE YAENDELEA
KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB: MAANDALIZI YA KUANGA MWILI WA AGNES MASOGANGE YAENDELEA
Jeneza lenye mwili wa video queen nchini na muigizaji wa filamu Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange, likiwekwa sawa tayari kwa zoezi la kuanga mwili huo, katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam hivi sasa. Mwili wa Masogange unatarajiwa kuzikwa hapo kesho huko kijijini kwao, Utengule, jijini Mbeya.
Sehemu ya Wasanii wa filamu na Muziki nchini, wakiwa wamejumuika pamoja katika kuomboleza msiba wa video queen nchini na muigizaji wa filamu Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange.
Sehemu ya waombolezaji wengine.
Hivyo makala KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB: MAANDALIZI YA KUANGA MWILI WA AGNES MASOGANGE YAENDELEA
yaani makala yote KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB: MAANDALIZI YA KUANGA MWILI WA AGNES MASOGANGE YAENDELEA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB: MAANDALIZI YA KUANGA MWILI WA AGNES MASOGANGE YAENDELEA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/kutoka-viwanja-vya-leaders-club.html
0 Response to "KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB: MAANDALIZI YA KUANGA MWILI WA AGNES MASOGANGE YAENDELEA"
Post a Comment