Loading...

MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA

Loading...
MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA
link : MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA

soma pia


MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA

Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe.Anthony Peter Mavunde ameahidi kuwapatia vikundi vya wajasiriamali mafunzo ya UJASIRIAMALI na kuviwezesha vikundi katika kata zote 41 zilizopo Jimbo la Dodoma Mjini.

Mavunde ameyasema hayo leo katika ukumbi wa Cavillam wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya Ujasiriamali yaliyowashirikisha zaidi ya wajasiriamali 2000 kutoka viunga mbalimbali vya Manispaa ya Dodoma,ambapo mafunzo hayo sasa yataanza kutolewa kwa kila kata  ili kuhakikisha idadi kubwa zaidi ya wajasiriamali inafikiwa na kupata mafunzo haya yenye lengo la kumuandaa mjasiriamali wa Dodoma kupata ujuzi wa utengenezaji wa bidhaa mbalimbali.

Aidha Mavunde amewataka wajasiriamali hao kutumia fursa za ujio wa shughuli za Serikali Mjini Dodoma kama sehemu ya kukuza uchumi wao na kujiletea maendeleo binafsi.

Akimkaribisha Mgeni Rasmi kufungua mafunzo hayo,Mkurugenzi wa Taasisi ya MJASIRIAMALI KWANZA , Dk.Mujungu amemshukuru Mbunge Mavunde kwa udhamini wa mafunzo hayo na pia kumpongeza kwa kugawa mashine ndogo ndogo zenye thamani ya Tsh 55,000,000 kwa Vikundi vya Wajasiriamali katika kata 31 za Manispaa ya Dodoma.
Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akifungua Mafunzo ya Ujasiriamali yaliyowashirikisha zaidi ya wajasiriamali 2000 kutoa viunga mbalimbali vya Manispaa ya Dodoma.
 Baadhi ya wajasiriamali walioshiriki mafunzo.
 Baadhi ya wajasiriamali walioshiriki mafunzo.
 Wajasiriamali walioshiriki.
Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akizungumza na mmoja wa washiriki wa semina.


Hivyo makala MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA

yaani makala yote MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/mavunde-amwaga-neema-kwa-wajisiriamali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA"

Post a Comment

Loading...