Loading...

Bomba la maji kutoka Chemchem ya Mtopepo laharibika

Loading...
Bomba la maji kutoka Chemchem ya Mtopepo laharibika - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bomba la maji kutoka Chemchem ya Mtopepo laharibika, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bomba la maji kutoka Chemchem ya Mtopepo laharibika
link : Bomba la maji kutoka Chemchem ya Mtopepo laharibika

soma pia


Bomba la maji kutoka Chemchem ya Mtopepo laharibika

 Kumetokezea maharibiko katika eneo la Mtopepo bomba la gravity kutoka chemchem . Maharibiko hayo yamesababisha ukosefu wa huduma ya maji katika maeneo ya Mji Mkongwe Wilaya Mjini Mkoa Mjini Magharibi Unguja.

Mamlaka ya Maji Zanzibar tayari imeshachukua hatua ikiwemo kukagua athari na kesho asubuhi mafundi wataenda kufanyakazi ili kufanikisha huduma ya maji kurejea kwa wananchi wa maeneo ya Mji Mkongwe.

Aidha, Mamlaka ya Maji Zanzibar itatoa taarifa kamili kwa wananchi juubya kilichotokea na athari zilizotokea.

Wananchi tunawaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na jitihada zinachukuliwa kurekebisha maharibiko yaliyotokea.


Hivyo makala Bomba la maji kutoka Chemchem ya Mtopepo laharibika

yaani makala yote Bomba la maji kutoka Chemchem ya Mtopepo laharibika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bomba la maji kutoka Chemchem ya Mtopepo laharibika mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/bomba-la-maji-kutoka-chemchem-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bomba la maji kutoka Chemchem ya Mtopepo laharibika"

Post a Comment

Loading...