Loading...
title : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BENGENI JIJINI DODOMA
link : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BENGENI JIJINI DODOMA
MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BENGENI JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwanamuziki Mkongwe Mzee Makassy na wasanii wenzake katika Viwanja vya Bunge , Juni 25/2018 .Kulia ni Mbunge wa Viti maalumu Martha Mlata
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia na mwanamuziki, Kikumbi Mwanza Mpango (King Kiki) na wasanii wenzake katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 25/2018. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba, kushoto mwenye kofia nyekundu ni Mzee Makassy na Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Martha Mlata .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wanamuziki wakongwe kwenye Viwanja vya Bunge leo jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba bungeni jijini Dodoma leo Juni 25/2018
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BENGENI JIJINI DODOMA
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BENGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BENGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/matukio-mbalimbali-ya-waziri-mkuu.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BENGENI JIJINI DODOMA"
Post a Comment