Loading...
title : mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard Visa’ akwea pipa
link : mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard Visa’ akwea pipa
mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard Visa’ akwea pipa
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela (wa pili kushoto), akiagana na mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard Visa’, Mohamed Kinjenge, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kabla ya kwenda nchini Urusi kushuhudia Fainali za Kombe la Dunia.
Mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard visa’, Mohamed Kinjenge (kulia), akisindikizwa na Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela (kushoto), wakati akielekea nchini Urusi kushuhudia Fainali za Kombe la Dunia kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard visa’ Mohamed, akifurahia safari yake ya kwenda nchini Urusi kushuhudia Fainali za Kombe la Dunia la Fifa 2018.
Mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard Visa’ Mohamed Kinjenge (kulia), akiwapungia mkono maofisa wa Benki ya CRDB (hawapo pichani), waliomsindikiza kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, wakati akielekea nchini Urusi kushuhudia Fainali za Kombe la Dunia la Fifa 2018. Kushoto ni Meneja Huduma za Kibenki kwa Njia ya Kielektroniki, Mangire Kibanda ambaye anaambatana na mshindi huyo.
Hivyo makala mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard Visa’ akwea pipa
yaani makala yote mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard Visa’ akwea pipa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard Visa’ akwea pipa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/mshindi-wa-wiki-ya-kwanza-ya-kampeni-ya.html
0 Response to "mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard Visa’ akwea pipa"
Post a Comment