Loading...

TUZO ZA MO KUFANYIKA LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
TUZO ZA MO KUFANYIKA LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUZO ZA MO KUFANYIKA LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUZO ZA MO KUFANYIKA LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM
link : TUZO ZA MO KUFANYIKA LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


TUZO ZA MO KUFANYIKA LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM




MWAMBA WA HABARI
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM
Tuzo za Simba Mo Awards zinatarajia kufanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Tuzo hizo zitakuwa maalum kwa watu wa klabu hiyo waliofanikisha Simba kufanya vizuri kwa msimu wa 2017/18.

Wanachama, viongozi, mashabiki na matawi ya klabu hiyo yatahusishwa katika ugawajwi wa tuzo hizo zitazofanyika leo kuanzia saa 12 kamili jioni.

Lengo mahususi la kuanzisha tuzo hizo ni kutambua mchango wa waliofanikisha Simba kufikia hapo ilipo.

Baadhi ya vipengele ambavyo vitakuwepo katika ugawajwi wa tuzo hizo ni mchezaji bora wa mwaka, kiungo, mshambuliaji, shabiki na zinginezo.


Hivyo makala TUZO ZA MO KUFANYIKA LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote TUZO ZA MO KUFANYIKA LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUZO ZA MO KUFANYIKA LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/tuzo-za-mo-kufanyika-leo-jioni-jijini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUZO ZA MO KUFANYIKA LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...