Loading...
title : CBE KUUNGURUMA KWENYE MAONESHO YA VYUO VIKUU KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA KUANZIA JUMATANO TAREHE 18 - 21/07/2018.
link : CBE KUUNGURUMA KWENYE MAONESHO YA VYUO VIKUU KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA KUANZIA JUMATANO TAREHE 18 - 21/07/2018.
CBE KUUNGURUMA KWENYE MAONESHO YA VYUO VIKUU KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA KUANZIA JUMATANO TAREHE 18 - 21/07/2018.
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kama mdau wa muhimu wa TCU kitashiriki katika maonesho hayo muhimu. Pamoja na kutoa maelezo sahihi ya shughuli na huduma zinazotolewa CBE. Chuo kitapokea maombi ya kujiunga katika ngazi za Masters, Bachelor Degree, Postgraduate Diploma na Certificate.1: MASTERS
a) Masters in IT Project Management
b) Masters in ICT for Development
C) Masters in Supply chain Management
d) Masters in International Business Management
2: BACHELOR, DIPLOMA & CERTIFICATE IN:-
a) Accountancy
b) Business Administration
C) Marketing
d) Procurement and Supplies Management
e) Information and Communication Technology
f) Metrology and Standardization
3: Bachelor of Business Studies with Education (BBSE)
4: Fika na vivuli vya vyeti vyako pamoja na Tshs 10,000/= gharama ya maombi. Mweye sifa atapewa Joining instruction .
Pia, maombi ya kujiunga yanapokelewa katika Kampasi zetu za DSM, DODOMA, MWANZA na MBEYA. Vilevile unaweza kuomba kupitia tovuti ya Chuo www.cbe.ac.tz
Karibuni Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kidogo kidogo.
KWA MAELEZO ZAIDI
TUPIGIE 0756 722 467
"ELIMU YA BIASHARA KWA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA"
KARIBUNI SANA
Imetolewa na Kitengo cha Uhusiano na Masoko
CBE
Hivyo makala CBE KUUNGURUMA KWENYE MAONESHO YA VYUO VIKUU KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA KUANZIA JUMATANO TAREHE 18 - 21/07/2018.
yaani makala yote CBE KUUNGURUMA KWENYE MAONESHO YA VYUO VIKUU KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA KUANZIA JUMATANO TAREHE 18 - 21/07/2018. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CBE KUUNGURUMA KWENYE MAONESHO YA VYUO VIKUU KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA KUANZIA JUMATANO TAREHE 18 - 21/07/2018. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/cbe-kuunguruma-kwenye-maonesho-ya-vyuo.html
0 Response to "CBE KUUNGURUMA KWENYE MAONESHO YA VYUO VIKUU KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA KUANZIA JUMATANO TAREHE 18 - 21/07/2018."
Post a Comment