Loading...
title : DED UBUNGO AFANYA UKAGUZI KATIKA UJENZI WA MADARASA MANNE YA KIMARA SEKONDARI
link : DED UBUNGO AFANYA UKAGUZI KATIKA UJENZI WA MADARASA MANNE YA KIMARA SEKONDARI
DED UBUNGO AFANYA UKAGUZI KATIKA UJENZI WA MADARASA MANNE YA KIMARA SEKONDARI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, John Kayombo akizungumza jambo na kaimu Mwamlimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kimara wakati alipofika kukagua ujenzi wa Madarasa Manne yanayojengwa katika Sekondari hiyo Mpya, leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, John Kayombo, akikagua ubora wa Zege linalotumika katika ujenzi wa madarasa manne katika shule ya Sekondari Kimara.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, John Kayombo akisaidiwa kupanda juu ya Msingi na Afisa Mtendaji wa kata Kimara.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, John Kayombo akitoa maelekezo kwa mkandarasi aweze kumaliza ujezni huo kwa wakati.
Hivyo makala DED UBUNGO AFANYA UKAGUZI KATIKA UJENZI WA MADARASA MANNE YA KIMARA SEKONDARI
yaani makala yote DED UBUNGO AFANYA UKAGUZI KATIKA UJENZI WA MADARASA MANNE YA KIMARA SEKONDARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DED UBUNGO AFANYA UKAGUZI KATIKA UJENZI WA MADARASA MANNE YA KIMARA SEKONDARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/ded-ubungo-afanya-ukaguzi-katika-ujenzi.html
0 Response to "DED UBUNGO AFANYA UKAGUZI KATIKA UJENZI WA MADARASA MANNE YA KIMARA SEKONDARI"
Post a Comment