Loading...

TAGLA, ICDL KUNUFAISHA WANANCHI KIUCHUMI KUPITIA TEKNOLOJIA

Loading...
TAGLA, ICDL KUNUFAISHA WANANCHI KIUCHUMI KUPITIA TEKNOLOJIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAGLA, ICDL KUNUFAISHA WANANCHI KIUCHUMI KUPITIA TEKNOLOJIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAGLA, ICDL KUNUFAISHA WANANCHI KIUCHUMI KUPITIA TEKNOLOJIA
link : TAGLA, ICDL KUNUFAISHA WANANCHI KIUCHUMI KUPITIA TEKNOLOJIA

soma pia


TAGLA, ICDL KUNUFAISHA WANANCHI KIUCHUMI KUPITIA TEKNOLOJIA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

WAKALA wa mafunzo kwa Njia ya mtandao nchini (TaGLA) kwa kushirikiana na Wakala wa masuala ya teknolojia Afrika (ICDL) wamekutana na kujadili namna wanavyofanya kazi na changamoto wanazokutana nazo katika utendaji kazi sambamba na kuzitafutia suluhisho.

Akizungumza na vyombo vya habari Mkurugenzi Mtendaji wa ICDL Afrika Etinick Mutinda ameeleza kuwa nchi 17 ni mwananchama wa ICDL ambapo makao makuu yapo Kigali nchini Rwanda na bado wanashawishi nchi nyingine kujiunga kwa maendeleo zaidi.

Ameeleza kuwa lengo la ICDL ni kusaidia na kushirikiana na Serikali katika masuala ya kiteknolojia na namna ya kutumia teknolojia kwa manufaa ya kujenga taifa na wanashirikiana na Serikali pamoja na taasisi binafsi katika kuhakikisha teknolojia inasaidia katika kukuza uchumi na katika mkutano huo wataangalia changamoto na namna ya kuzikabili katika masuala ya tehama.

Akiiwakilisha wakala ya mafunzo kwa njia ya mtandao (TaGLA) meneja habari na mafunzo Dickson Manyika ameeleza kuwa malengo ya teknolojia hasa matumizi ya kompyuta na mitandao yawe ya manufaa katika kushirikishana mawazo ambayo yataleta mabadiliko na maendeleo katika jamii.

Ameeleza kama wakala wana vipindi maalumu wanavyofanya kwa njia ya mtandao kwa kushirikiana na nchi mbalimbali na hujadili masuala ya kusaidia serikali na jamii kwa ujumla kama vile kukua na upangaji wa miji na masuala ya kielimu.

Baadhi ya washiriki wameeleza kuwa katika kuelekea uchumi wa viwanda hatuwezi kubaki nyuma katika suala la teknolojia kwani njanja nyingi kama kilimo, elimu na viwanda huhitaji matumizi ya teknolojia bora katika kufikia malengo.
 Meneja habari na mafunzo wa Wakala wa mafunzo kwa njia ya Mtandao,Dickson Manyika akizungumza na Globu ya jamii kuhusu matumizi ya mitandao iwe ya manufaa katika kushirikisha mambo mbalimbali ya maendeleo katika jamii.
 Mkurugenzi Mtendaji wa ICDL Afrika,Etinick Mutinda akizungumza na wadau mbalimbali wa mitandao katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar as Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
Semu ya wadau mbalimbali wa mitandao wakiwa katika mkutano huo.


Hivyo makala TAGLA, ICDL KUNUFAISHA WANANCHI KIUCHUMI KUPITIA TEKNOLOJIA

yaani makala yote TAGLA, ICDL KUNUFAISHA WANANCHI KIUCHUMI KUPITIA TEKNOLOJIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAGLA, ICDL KUNUFAISHA WANANCHI KIUCHUMI KUPITIA TEKNOLOJIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/tagla-icdl-kunufaisha-wananchi-kiuchumi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAGLA, ICDL KUNUFAISHA WANANCHI KIUCHUMI KUPITIA TEKNOLOJIA"

Post a Comment

Loading...