Loading...

Mbunge wa CCM Profesa Majimarefu afariki dunia

Loading...
Mbunge wa CCM Profesa Majimarefu afariki dunia - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbunge wa CCM Profesa Majimarefu afariki dunia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbunge wa CCM Profesa Majimarefu afariki dunia
link : Mbunge wa CCM Profesa Majimarefu afariki dunia

soma pia


Mbunge wa CCM Profesa Majimarefu afariki dunia

 
 Mwamba wa habari
Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM),  Steven Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu amefariki dunia  usiku wa Julai 2,  2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
 
Taarifa ya kifo cha mbunge huyo imethibitishwa na ofisa uhusiano wa Muhimbili,  Aminiel Eligaeshi.
 
Juni 20,  2018 Majimarefu alihamishiwa kwa ndege kutoka mkoani Dodoma kwenda MNH kwa matibabu. Hata hivyo kilichokuwa kikimsumbua mbunge huyo hakikuwekwa wazi.
 
Juni 6,  2018 mbunge huyo alifiwa na mkewe,  Mariam aliyekuwa akipatiwa matibabu MNH


Hivyo makala Mbunge wa CCM Profesa Majimarefu afariki dunia

yaani makala yote Mbunge wa CCM Profesa Majimarefu afariki dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge wa CCM Profesa Majimarefu afariki dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mbunge-wa-ccm-profesa-majimarefu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mbunge wa CCM Profesa Majimarefu afariki dunia"

Post a Comment

Loading...