Loading...
title : Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79
link : Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79
Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79
Mwamba wa habari
TumeyaTaifayaUchaguzi (NEC) itafanyauchaguzimdogokwenyeJim bo la Buyungu, MkoaniKigomanakwenye Kata 79 za Tanzania Bara, Mwenyekitiwa NEC, Jaji (R), SemistoclesKaijageamesema.
AkizungumzaJijiniDar es Salaam jana, JajiKaijageamesemauchaguzihuou tafanyikatarehe 12 mwenziujao (Agosti)nafomuzauteuziwawagombeazitatolewakuanziatarehe 8 hadi 14 mwenzihuu (Julai).
" UteuziwaWagombeautafanyikatarehe 14 Julai, mwakahuu. KampenizaUchaguzizitafanyikakatiyatarehe 15 Julai, haditarehe 11 Agosti, mwakahuunasikuyauchaguziitakuwanitarehe 12 Agostimwakahuu,” alisema.
JajiKaijageamebainishakwambaTu meimetangazauwepowanafasiwaziyaUbungekwenyeJimbohilo la BuyungubaadayakupokeataarifakutokakwaSpikawa Bunge la JamhuriyaMuungano, Ndugu Job Ndugai.
“ TumeilipokeabaruakutokakwaSpikawa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania ambayekwakuzingatiakifungu cha 37(3) cha SheriayaTaifayaUchaguzi, Suraya 343, aliitarifuTumeuwepowanafasiwaziyaMbungewaJimbo la BuyungukatikaHalmashauriyaKakonkoMkoaniKigomakufuatiakufarikikwaaliyekuwaMbungewaJimbohiloMheshimiwaKasuku Samson Bilago,” alisema.
Kwa upandewanafasiwazizaUdiwani, MwenyekitihuyoalisemaTumeilipo keataarifakutokakwawazirimwenyedhamanaakiitaarifujuuyauwepowanafasihizonataratibuzauchaguzimdogozikaanzamaramoja.
“TumeimepokeaTaarifakutokakwa Waziri mwenyedhamananaSerikalizaMitaa ambayekwakutumiamamlakaaliyopewachiniyaKifungu cha 13(1) cha SheriayaUchaguziyaSerikalizaMitaa, Suraya 292, aliitarifuTumeuwepowanafasiwazizaMadiwanikatika Kata 79 za Tanzania Bara,” alisema.
Akitoawitokwavyamavyasiasa, JajiKaijageamesema “tunapendakuvikumbushaVyamavya SiasanawadauwotewauchaguzikuzingatiaSheria, Kanuni, MaadiliyaUchaguzi, Taratibu, Miongozonamaelekezoyotewakatiwakipindi cha Uchaguzimdogo”.
JajiKaijagealisemakwambauchagu zihuomdogoutafanyikandaniyaHalmashauri 43zilizopokwenyeMikoa 24ya Tanzania Bara.
Mikoahiyonipamojana, Kigoma, Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Iringa, Kagera, Katavi, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya, Mtwara, Morogoro, Mwanza, Njombe, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida, Songwe, TaboranaTanga.
HalmashaurihizonipamojanaMoshi , Ruangwa, Mbulu, Hanang, Babati, Serengeti, Tarime, Kyela, Mtwara, Newala, Kilombero, Kilosa, Kwimba, Makete, Wanging’ombe, Kalambo, Songea, Msalala, Meatu, Singida, Songwe, Tunduma, Tabora, Nzega, UrambonaTanga.
HalmashaurinyinginenipamojanaKHivyo makala Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79
yaani makala yote Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/uchaguzi-mdogo-jimbo-moja-na-kata-79.html
0 Response to "Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79"
Post a Comment