Loading...

TIB CORPORATE BANK KUWANEEMESHA WAFANYABIASHARA MSIMUHUU WASABA SABA.

Loading...
TIB CORPORATE BANK KUWANEEMESHA WAFANYABIASHARA MSIMUHUU WASABA SABA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIB CORPORATE BANK KUWANEEMESHA WAFANYABIASHARA MSIMUHUU WASABA SABA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIB CORPORATE BANK KUWANEEMESHA WAFANYABIASHARA MSIMUHUU WASABA SABA.
link : TIB CORPORATE BANK KUWANEEMESHA WAFANYABIASHARA MSIMUHUU WASABA SABA.

soma pia


TIB CORPORATE BANK KUWANEEMESHA WAFANYABIASHARA MSIMUHUU WASABA SABA.

 
Na John Luhende
Mwambawahabari
TIB Corporate Bank  imewataka watanzania kuwa na utamaduni wakujiwekea akiba kupitia Akaunti mbalimbali mbali zinazotolewa na Bank hiyo ili iweze kuwasaidia katika nyakati ngumu.

Akizungumza na Mwamba wahabari  Meneja Uhusiano kwa wateja wakubwa   Shillah Senkoro , amesema katika msimuhuu wa saba saba Bank hiyo imejipanga Kutoa huduma  mbalimbali zikiwemoza akaunti za Watoto (jipange Toto bank) na akaunti watu binafsi na makampuni.

Aidha amesema TIB  inaendelea kuwawezesha Wajasiliamali na wafanyabiashara wakubwa kwakuwapa mikopo yenye riba nafuu ili waweze kuboresha biashara zao.

Pamoja na hayo amewataka wananchi kufika katika banda la TIB lililopo katika viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam, mkabala na TTCL, au katika Matawi ya bank hiyo Ilikupata ushauri wa kibiashara na huduma za kibenki.


Hivyo makala TIB CORPORATE BANK KUWANEEMESHA WAFANYABIASHARA MSIMUHUU WASABA SABA.

yaani makala yote TIB CORPORATE BANK KUWANEEMESHA WAFANYABIASHARA MSIMUHUU WASABA SABA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIB CORPORATE BANK KUWANEEMESHA WAFANYABIASHARA MSIMUHUU WASABA SABA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/tib-corporate-bank-kuwaneemesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TIB CORPORATE BANK KUWANEEMESHA WAFANYABIASHARA MSIMUHUU WASABA SABA."

Post a Comment

Loading...