Loading...

VIGOGO WATANO WA KNCU LTD,TCCCO WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI

Loading...
VIGOGO WATANO WA KNCU LTD,TCCCO WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIGOGO WATANO WA KNCU LTD,TCCCO WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIGOGO WATANO WA KNCU LTD,TCCCO WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI
link : VIGOGO WATANO WA KNCU LTD,TCCCO WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI

soma pia


VIGOGO WATANO WA KNCU LTD,TCCCO WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI

Na Dixon Busagaga,Moshi

VIONGOZI watano wa Chama cha Ushirika mkoa wa Kilimanjaro(KNCU LTD) na Kiwanda cha Kukoboa Kahawa cha Tanganyika (TCCCO) leo wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ,Moshi na kusomewa Mashtaka tofauti yakiwemo ya uhujumu Uchumi.

Waliofikishwa Mahakamani na kupandishwa Kizimbani ni pamoja na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Kikuu cha Ushirika ,Kilimanjaro (KNCU) Aloisi Kitau (70) Makamu Mwenyekiti mstaafu wa KNCU,Hatibu Mwanga(70) na Meneeja Mkuu wa KNCU ,Honest Temba (38).

Wengine waliofikishwa mahamani hapo mbele ya Hakimu Mkazi ,Pamela Mazengo ni aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Kukoboa Kahawa (TCCC0) Maynard Swai (57) na aliyekuwa Meneja Mkuu wa TCCCo ,Andrew Kleruu wanaotajwa kukiuka sheria wakati wa ununuzi wa mtambo wa kukoboa Kahawa.

Wakili wa serikali Jaqueline Nyantori aliieleza mahakamani kuwa Washitakiwa ,Maynard Swai na Andrew Kleruu wanakabiliwa na makosa mawili huku akiyataja kuwa ni Matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia serikali hasara .

Upande wa Jamhuri katika Shauri hilo unawakilishwa na Wakili wa serikali Mandamizi ,Shadrack Martin,Wakili wa serikali Mwandamizi ,Abdalah Chavula na Wakili wa serijali Jacqueline Nyantori huku Wakili Julius Semali akimtetea Mshtakiwa Honest Temba na Wakili Captain Sawayaeli Shoo akimtetea Mshtakiwa Hatibu Mwanga.



Watuhumiwa hao wakishushwa Mahakamani mapema leo chini ya Ulinzi wa Jeshi la Polisi,kusomewa mashtaka yao


Hivyo makala VIGOGO WATANO WA KNCU LTD,TCCCO WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI

yaani makala yote VIGOGO WATANO WA KNCU LTD,TCCCO WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIGOGO WATANO WA KNCU LTD,TCCCO WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/vigogo-watano-wa-kncu-ltdtccco.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIGOGO WATANO WA KNCU LTD,TCCCO WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI"

Post a Comment

Loading...