Loading...

WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA POLISI MURIET JIJINI ARUSHA

Loading...
WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA POLISI MURIET JIJINI ARUSHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA POLISI MURIET JIJINI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA POLISI MURIET JIJINI ARUSHA
link : WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA POLISI MURIET JIJINI ARUSHA

soma pia


WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA POLISI MURIET JIJINI ARUSHA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiangalia pikipiki zilizotolewa na wadau wa kupinga vita uhalifu kwa Kituo cha Polisi Muriet, kilichopo Kata ya Muriet. Kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Ramadhani Ng’anzi.Waziri Lugola yupo jijini Arusha kwa ziara ya kikazi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(wapili kushoto), alipotembelea nyumba za askari polisi zinazoonekana pichani, katika eneo la Kata ya Muriet,jijini Arusha.Kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha,Ramadhani Ng’anzi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na wananchi wa Kata ya Muriet, baada ya kutembelea Kituo cha Polisi na nyumba za askari polisi zilizopo eneo hilo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kulia) na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Ramadhani Ng’anzi (kushoto) kutembelea Kituo cha Polisi cha Muriet (kinachoonekana pichani) na nyumba za askari polisi zilizopo katika eneo hilo wakati wa ziara yake jijini Arusha. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA POLISI MURIET JIJINI ARUSHA

yaani makala yote WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA POLISI MURIET JIJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA POLISI MURIET JIJINI ARUSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-kangi-lugola-atembelea-kituo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA POLISI MURIET JIJINI ARUSHA"

Post a Comment

Loading...