Loading...

KAMANDA ARUSHA ATHIBITISHA KUJERUHIWA KWA KADA WA CCM

Loading...
KAMANDA ARUSHA ATHIBITISHA KUJERUHIWA KWA KADA WA CCM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMANDA ARUSHA ATHIBITISHA KUJERUHIWA KWA KADA WA CCM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMANDA ARUSHA ATHIBITISHA KUJERUHIWA KWA KADA WA CCM
link : KAMANDA ARUSHA ATHIBITISHA KUJERUHIWA KWA KADA WA CCM

soma pia


KAMANDA ARUSHA ATHIBITISHA KUJERUHIWA KWA KADA WA CCM

*Azungumzia hali ya usalama maeneo yanayofanya uchaguzi


Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikiliza mmoja wa wanachama wa Chadema kwa tuhuma za kumjeruhi kada wa CCM aliyefahamika kwa jina moja la Idd baada ya kuibuka kwa vurugu kati ya makundi mawili.

Akizungumza na Michuzi Blog Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Ramadhan Ng'anzi amesema tukio la vurugu hizo zimetokea leo kati ya saa nne na saa tano asubuhi eneo la Mianzini.

Amefafanua Polisi waliwahi kufika eneo la tukio na kufanikiwa kuzima vurugu hizo na kumkamata anayetuhumiwa kujeruhi na anahojiwa, huku aliyejeruhiwa naye amepatiwa matibabu.

Alipoulizwa jina la anayetuhumiwa kujeruhi Kamanda Ng'anzi amejibu kwa sasa yupo nje ya ofisi yake kwa ajili ya kufuatilia na kuangalia hali ya usalama na hasa kwenye kata zinazofanya uchaguzi unafanyika unaofanyika leo.

Hata hivyo inaelezwa kada aliyejeruhiwa ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kaloleni mkoani Arusha.

Kuhusu hali ya usalama amesema Mkoa wa Arusha hali ni tulivu na amani imetawala katika maeneo yote yakiwamo ya kata ambazo yanafanya uchaguzi na kwamba hata vurugu ambazo zilizotokea ni kwenye kata ambayo haina uchaguzi.

"Arusha hali ni shwari mno.Hakuna vurugu na watu wanaendelea na shughuli zao.Hata katika kata ambazo kunafanyika uchaguzi mdogo kuko shwari na mambo yanakwenda vizuri,"amesema Kamanda Ng'anzi.


Hivyo makala KAMANDA ARUSHA ATHIBITISHA KUJERUHIWA KWA KADA WA CCM

yaani makala yote KAMANDA ARUSHA ATHIBITISHA KUJERUHIWA KWA KADA WA CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMANDA ARUSHA ATHIBITISHA KUJERUHIWA KWA KADA WA CCM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/kamanda-arusha-athibitisha-kujeruhiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMANDA ARUSHA ATHIBITISHA KUJERUHIWA KWA KADA WA CCM"

Post a Comment

Loading...