Loading...

WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU

Loading...
WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU
link : WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU

soma pia


WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU




Baadhi ya Wakazi wa Jimbo la Buyungu waliojitokeza Kupiga Kura kumchagua Mbunge wao wakiwa kwenye mistari kuingia ndani ya Kituo cha Kupigia Kura wilayani Kakonko leo. Katika uchaguzi huo vyama 10 vya Siasa vimesimamisha wagombea.
Karani mwongozaji wa Kituo cha kupigia Kura Na. 1 katika ukumbi wa mikutano wa wilaya ya Kakonko akitoa maelekezo kwa wapiga Kura waliojitokeza kutimiza haki yao ya kikatiba ya kumchagua Mbunge wao katika jimbo la Buyungu leo.
Mkazi wa wilaya ya Kakonko akipiga kura yake kumchagua Mbunge wa Jimbo la Buyungu leo.
Mkazi wa wilaya ya Kakonko akipiga kura yake kumchagua Mbunge wa Jimbo la Buyungu leo.
Msimamizi Msaidizi wa Kituo cha Kupigia Kura akihakiki majina ya Mpiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kabla ya kumruhusu mpiga Kura kutimiza haki yake ya kushiriki kupiga Kura katika Uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu leo.
Mmoja wa wapiga Kura ambaye ni mzee akipata usaidizi wa kutolewa nje ya kituo cha kupigia kura mara baada ya kupiga kura katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Buyungu leo.
Mmoja wa wapiga Kura ambaye ni mzee akipata usaidizi wa kutolewa nje ya kituo cha kupigia kura mara baada ya kupiga kura katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Buyungu leo.


Hivyo makala WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU

yaani makala yote WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wananchi-jimbo-la-buyungu-wapiga-kura.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU"

Post a Comment

Loading...