Loading...
title : SAUTI YA SHANGAZI YABAMBA KWA MABINTI MASHULENI...
link : SAUTI YA SHANGAZI YABAMBA KWA MABINTI MASHULENI...
SAUTI YA SHANGAZI YABAMBA KWA MABINTI MASHULENI...
Wanafunzi wa shule ya sekondari Lyoto wanufaika na Sauti ya Shangazi mara baada ya kuwatembelea Shuleni hapo, Shangazi Mary Steward Mwenisongole ni Mwanamke alie jitoa kuwasaidia mabinti wa mashuleni kupunguza na kuondoa mazingira hatarishi katika ukuaji wao pindi wakiwa masomoni na wakiwa majumbani kuepuka vishawishi mbalimbali vinavyowapelekea kujiingiza katika njia zisizo sahihi zinazo pelekea kupata magonjwa ya zinaa, mimba na athali mbalimbali katika ukuaji wa Mwanafunzi.
Shangazi Mary Steward Mwenisongole akizungumza na wanafunzi wakike wa shule ya sekondari lyoto iliyopo eneo la Ilemi jijini Mbeya juu ya Sauti ya Shangazi inavyo jenga kujiamini na kujikubali kwa mabinti waliopo mashuleni.
Moja kati ya mwanafunzi wa kike wa shule ya Sekondari Lyoto akichangia jambo juu ya namna ambavyo mwanamke anatakiwa kujiamini na kujikubali pindi awapo shuleni na nyumbani kwa kupitia muongozo mzuri wa Sauti ya Shangazi. PICHA NA MR.PENGO MBEYA
Hivyo makala SAUTI YA SHANGAZI YABAMBA KWA MABINTI MASHULENI...
yaani makala yote SAUTI YA SHANGAZI YABAMBA KWA MABINTI MASHULENI... Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SAUTI YA SHANGAZI YABAMBA KWA MABINTI MASHULENI... mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/sauti-ya-shangazi-yabamba-kwa-mabinti.html
0 Response to "SAUTI YA SHANGAZI YABAMBA KWA MABINTI MASHULENI..."
Post a Comment