Loading...
title : MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYUZI , HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA
link : MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYUZI , HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA
MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYUZI , HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyuzi za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha nyuzi cha Tabora kiichopo kwenye Manispaa hiyo, Agosti 18, 2018. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Urvesh Rajani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyuzi za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha nyuzi cha Tabora kiichopo kwenye Manispaa hiyo, Agosti 18, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha nyuzi cha Tabora, Urvesh Rajani (kulia) kuhusu pamba chafu wakati alipotembelea kiwanda hicho katika Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia akinamama waliojifungua katika wodi ya wazazi kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora ya Kitete Agosti 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua chumba cha upasuaji kilichojengwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora ya Kitete wakati alipotembela hospitali hiyo katika Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYUZI , HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA
yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYUZI , HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYUZI , HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/majaliwa-atembelea-kiwanda-cha-nyuzi.html
0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYUZI , HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA"
Post a Comment