Loading...
title : Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari, wanufaika na Mafunzo ya Ukusanyaji Maduhuli kieletroniki.
link : Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari, wanufaika na Mafunzo ya Ukusanyaji Maduhuli kieletroniki.
Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari, wanufaika na Mafunzo ya Ukusanyaji Maduhuli kieletroniki.
Mchambuzi Mkuu wa Mifumo ya Kompyuta kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Bibi. Stella Nguma akifafanua jambo kwa Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo (hawapo katika picha) wakati wa mafunzo ya matumizi ya mfumo wa kieletroniki wa ukusanyaji maduhuli ya serikali (Government Eletroniki Payment Gateaway-GePG), leo Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo. 
Mchambuzi Mifumo ya Kompyuta kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Goodluck Mbano( aliyesimama),akitoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa ukusanyaji wa maduhuli ya serikali kwa njia ya kieletroniki wakati wa mafunzo hayo kwa Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari ,Utamaduni ,Sanaa na Michezo leo Jijini Dodoma, katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo.
Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo ,wakifuatilia kwa makinimaelekezo yaliyokuwa yakitolewa wakati wa mafunzo ya matumizi ya mfumo wa kieletroniki wa ukusanyaji maduhuli ya serikali (Government Eletroniki Payment Gateaway-GePG) yaliyokuwa yakitolewa na wachambuzi wa mifumo kutoka Wizara ya Fedha na Mipango (hawapo katika picha), leo Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo.(Picha na WHUSM).

Hivyo makala Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari, wanufaika na Mafunzo ya Ukusanyaji Maduhuli kieletroniki.
yaani makala yote Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari, wanufaika na Mafunzo ya Ukusanyaji Maduhuli kieletroniki. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari, wanufaika na Mafunzo ya Ukusanyaji Maduhuli kieletroniki. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wahasibu-na-maafisa-tehama-wa-wizara-ya.html
0 Response to "Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari, wanufaika na Mafunzo ya Ukusanyaji Maduhuli kieletroniki."
Post a Comment