Loading...
title : CHADEMA Wapata Pigo, Mbunge wa Serengeti Ajiuzulu na Kuhamia CCM
link : CHADEMA Wapata Pigo, Mbunge wa Serengeti Ajiuzulu na Kuhamia CCM
CHADEMA Wapata Pigo, Mbunge wa Serengeti Ajiuzulu na Kuhamia CCM

Mwamba wa habari
Usiku wa kuamkia Leo, Septemba 28 Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimepata pigo baada ya kuondokewa na Mbunge wa Serengeti mkoa wa Mara Marwa Chacha ambaye amejiuzulu nafasi yake ya Ubunge na kuhama CHADEMA kisha kujiunga na CCM kwa madai ya kuamua kuunga jitihada za Rais Dr John Pombe Magufuli.
Chacha amewataka wakazi wa Serengeti kumchagua mtu atakayeweza kushirikiana nao pamoja ili kuleta maendeleo kupitia CCM
Hivyo makala CHADEMA Wapata Pigo, Mbunge wa Serengeti Ajiuzulu na Kuhamia CCM
yaani makala yote CHADEMA Wapata Pigo, Mbunge wa Serengeti Ajiuzulu na Kuhamia CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CHADEMA Wapata Pigo, Mbunge wa Serengeti Ajiuzulu na Kuhamia CCM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/chadema-wapata-pigo-mbunge-wa-serengeti.html
0 Response to "CHADEMA Wapata Pigo, Mbunge wa Serengeti Ajiuzulu na Kuhamia CCM"
Post a Comment