Loading...

DKT MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS

Loading...
DKT MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS
link : DKT MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS

soma pia


DKT MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF)leo Jumanne Septemba 4,2018 limemtangaza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt Reginald Mengi kuwa mlezi wa timu ya Taifa ya Vijana U17 "Serengeti Boys"

Dkt Mengi amekuwa akiifuatilia kwa karibu timu hiyo na amekuwa mmoja wa wadau wakubwa wa soka la Vijana.  Akiwa 

ni mpenda maendeleo ya mpira wa Miguu hususani soka la Vijana na amekuwa shabiki mkubwa wa Serengeti Boys.

TFF tunaamini tutashirikiana vizuri na Dkt  Mengi katika maendeleo na ustawi wa soka la Vijana na ni mwanamichezo ambaye hakika amekuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuendeleza soka la Vijana. 

Mara kadhaa amekuwa akiwasiliana na TFF kufuatilia maendeleo ya timu ya Taifa ya U17 kwenye mashindano mbalimbali. 

TFF wamefarijika kwa Dkt Mengi kukubali kuwa mlezi wa timu hii ya Serengeti Boys na wanaamini kwa pamoja wataifanya timu hii kuwa msingi mzuri katika maendeleo ya ustawi wa soka la Vijana. 


Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Ndugu Reginald Mengi .


Hivyo makala DKT MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS

yaani makala yote DKT MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/dkt-mengi-ateuliwa-kuwa-mlezi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT MENGI ATEULIWA KUWA MLEZI WA SERENGETI BOYS"

Post a Comment

Loading...