Loading...

YANGA KUPUNGUZA WACHEZAJI.

Loading...
YANGA KUPUNGUZA WACHEZAJI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA KUPUNGUZA WACHEZAJI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA KUPUNGUZA WACHEZAJI.
link : YANGA KUPUNGUZA WACHEZAJI.

soma pia


YANGA KUPUNGUZA WACHEZAJI.

Uongozi wa klabu ya Yanga, umepanga kufanya mchujo wake kwa umakini mkubwa mara tu baada ya dirisha la usajili kufunguliwa.

Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga zimeeleza, uongozi wa Yanga umekuwa ukitaka kupunguza gharama na kuimarisha kikosi chake.

"Gharama ni jambo gumu sana kwa Yanga, lakini viongozi wanajitahidi sana. Hivyo wameanza na suala la gharama halafu wataangalia wale wanaofanya vizuri na vibaya.


"Kama mchezaji hana mchango basi ajue safari itamkuta bila ya kuangalia jina lake. Mchujo utakuwa wa umakini mkubwa," kilieleza chanzo.

Kuhusiana na wachezaji wa kusajili au kuongeza, hilo suala ameachiwa mwalimu kwa kuwa uongozi umeonekana kumuamini


Hivyo makala YANGA KUPUNGUZA WACHEZAJI.

yaani makala yote YANGA KUPUNGUZA WACHEZAJI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA KUPUNGUZA WACHEZAJI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/yanga-kupunguza-wachezaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA KUPUNGUZA WACHEZAJI."

Post a Comment

Loading...