Loading...

WAZIRI LUKUVI ABAINI UJANJA UKWEPAJI KODI YA ARDHI MOSHI

Loading...
WAZIRI LUKUVI ABAINI UJANJA UKWEPAJI KODI YA ARDHI MOSHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI LUKUVI ABAINI UJANJA UKWEPAJI KODI YA ARDHI MOSHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI LUKUVI ABAINI UJANJA UKWEPAJI KODI YA ARDHI MOSHI
link : WAZIRI LUKUVI ABAINI UJANJA UKWEPAJI KODI YA ARDHI MOSHI

soma pia


WAZIRI LUKUVI ABAINI UJANJA UKWEPAJI KODI YA ARDHI MOSHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amegundua ujanja unaofanywa na baadhi ya wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro wa kutochukua hati miliki za ardhi kwa lengo la kukwepa kulipa kodi ya ardhi.

Kufuatia hali hiyo Lukuvi ameagiza takriban hati 5,000 ambazo hazijachukuliwa katika Wilaya hiyo kuchukuliwa na wahusika na watakaoshindwa kuzichukua watafikishwa mahakamani kwa kosa la kukwepa kulipa kodi. Katika Manispaa ya Moshi Jumla ya viwanja 15,000 vimepimwa na kati ya hivyo ni hati 10,168 tu ndizo wamiliki wake wamejitokeza kuzichukua.

Aidha, Waziri Lukuvi amemuagiza Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi katika wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro kuhakikisha ifikapo februari mwaka ujao (2019) anasitisha kesi za migogoro ya ardhi na kuanza kujikita katika kusikiliza kesi za wamiliki wa ardhi wasiolipa kodi ya ardhi ili kuiwezesha serikali kupata mapato.

‘’Wote wasiolipa kodi iwe waliokuwa na hati ama wasio na hati lakini wanaishi katika maeneo ya mijini yaliyopangwa ikifika februari 2019 watafikishwa mahakamani na tutahakikisha wanadaiwa kuanzia kipindi walichomilikishwa na wakishindwa nyumba zao zitapigwa mnada’’ alisema Lukuvi

Akizungumza na wananchi wa wilaya hiyo zaidi ya 150 waliojitokeza kuwasilisha kero zao za ardhi kwa Waziri Lukuvi katika program maalum ya Funguka kwa Waziri leo (jana), alisema katika ziara yake wilayani Moshi amebaini kuna hati zipatazo 5000 huku baadhi yake zikiwa na zaidi ya miaka 18 hazijachukuliwa na wahusika ambapo kwa mujibu wa Lukuvi wengi wao hawataki kuzichukua kwa kuogopa kulipa kodi ya ardhi.



Hivyo makala WAZIRI LUKUVI ABAINI UJANJA UKWEPAJI KODI YA ARDHI MOSHI

yaani makala yote WAZIRI LUKUVI ABAINI UJANJA UKWEPAJI KODI YA ARDHI MOSHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUKUVI ABAINI UJANJA UKWEPAJI KODI YA ARDHI MOSHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/waziri-lukuvi-abaini-ujanja-ukwepaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI LUKUVI ABAINI UJANJA UKWEPAJI KODI YA ARDHI MOSHI"

Post a Comment

Loading...