Loading...
title : VODACOM FOUNDATION NA DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA KUSAIDIA WATOTO NJITI HOSPITALI YA NYARUGUSU, KIGOMA
link : VODACOM FOUNDATION NA DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA KUSAIDIA WATOTO NJITI HOSPITALI YA NYARUGUSU, KIGOMA
VODACOM FOUNDATION NA DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA KUSAIDIA WATOTO NJITI HOSPITALI YA NYARUGUSU, KIGOMA
Katibu Tawala wa wilaya ya Kasulu aliyemuwakilisha Mkuu wa wilaya hiyo mkoani Kigoma, Titus Mguha (wa tatu kushoto) akipeana mkono na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacqueline Materu (kushoto) wakati wa kupokea sehemu ya msaada wa vifaa tiba maalumu kwa Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) vilivyotolewa na Taasisi ya Vodacom kwa kushirikiana na Taasisi Doris Mollel kwa wadi ya Hospitali inayohudumia kambi wakimbizi ya Nyarugusu, Kasulu mkoani Kigoma hivi karibuni. Wa pili kushoto ni Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel na katikati ni Afisa Msimamizi wa Kambi hiyo, Francis Chokola.
Katibu Tawala wa wilaya ya Kasulu aliyemuwakilisha Mkuu wa wilaya hiyo mkoani Kigoma, Titus Mguha (wa tatu kulia) akizungumza wakati akitoa shukrani kwa Taasisi za Vodacom Tanzania na Taasisi Doris Mollel kwa msaada walioutoa kwenye hospitali hiyo.
Katibu Tawala wa wilaya ya Kasulu aliyemuwakilisha Mkuu wa wilaya hiyo mkoani Kigoma, Titus Mguh, akiwa ameambatana na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacqueline Materu na Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel wakimjulia hali mama aliyejifungua mtoto Njiti katika Hospitali inayohudumia kambi wakimbizi ya Nyarugusu, Kasulu mkoani Kigoma hivi karibuni, ambapo pia walimzawadia khanga kama sehemu ya faraja kwake.
Hivyo makala VODACOM FOUNDATION NA DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA KUSAIDIA WATOTO NJITI HOSPITALI YA NYARUGUSU, KIGOMA
yaani makala yote VODACOM FOUNDATION NA DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA KUSAIDIA WATOTO NJITI HOSPITALI YA NYARUGUSU, KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM FOUNDATION NA DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA KUSAIDIA WATOTO NJITI HOSPITALI YA NYARUGUSU, KIGOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/vodacom-foundation-na-doris-mollel.html
0 Response to "VODACOM FOUNDATION NA DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA KUSAIDIA WATOTO NJITI HOSPITALI YA NYARUGUSU, KIGOMA"
Post a Comment