Loading...

KAMATI YA BAJETI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
KAMATI YA BAJETI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA BAJETI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA BAJETI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM
link : KAMATI YA BAJETI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


KAMATI YA BAJETI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwekahazina wa Kamati ya Bajeti ya Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA-AFRICA REGION) ambaye pia ni Mbunge wa Uganda Mhe. Elijah Okupa (katikati)akiongoza kikao cha Kamati hicho kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Spika wa Bunge la Kenya ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CPA AFRIKA Mhe. Justin Mturi na wa kwanza kulia ni Katibu wa CPA AFRIKA ambaye pia Katibu wa Bunge la Tanzania Ndugu Stephen Kagaigai. Wengine katika picha ni Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Sekretarieti ya CPA AFRIKA.
Mwekahazina wa Kamati ya Bajeti ya Chama cha Mabunge ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA-AFRICA REGION) ambaye pia ni Mbunge wa Uganda Mhe. Elijah Okupa (katikati)akiongoza kikao cha Kamati hicho kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Spika wa Bunge la Kenya ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CPA AFRIKA Mhe. Justin Mturi na wa kwanza kulia ni Katibu wa CPA AFRIKA ambaye pia Katibu wa Bunge la Tanzania Ndugu Stephen Kagaigai. Wengine katika picha ni Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Sekretarieti ya CPA AFRIKA.
Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Chama cha Mabunge ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA-AFRICA REGION) (waliokaa) katika picha ya pamoja wakati walipokutana Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Katikati kwa waliokaa ni Spika wa Bunge la Kenya ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CPA AFRIKA Mhe. Justin Mturi na waliosimama ni Sekretarieti ya CPA AFRIKA.
Spika wa Bunge la Kenya ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CPA AFRIKA Mhe. Justin Mturi akiwaeleza jambo Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Chama cha Mabunge ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA-AFRICA REGION) walipotembelea kiwanja kilichopo eneo la Mwongozo Kigamboni, kinachomilikiwa na Chama hicho.
Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA-AFRICA REGION) Ndg. Said Yakubu akiwaeleza jambo Wajumbe wa Kamati ya Bajeti wa chama hicho walipotembelea kiwanja kilichopo eneo la Mwongozo Kigamboni, kinachomilikiwa na Chama hicho.PICHA NA BUNGE.


Hivyo makala KAMATI YA BAJETI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote KAMATI YA BAJETI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BAJETI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/kamati-ya-bajeti-ya-cpa-kanda-ya-afrika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMATI YA BAJETI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...