Loading...

JE.! UMEYASIKIA MAKUBWA YA MANCHESTER UNITED.?

Loading...
JE.! UMEYASIKIA MAKUBWA YA MANCHESTER UNITED.? - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JE.! UMEYASIKIA MAKUBWA YA MANCHESTER UNITED.?, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JE.! UMEYASIKIA MAKUBWA YA MANCHESTER UNITED.?
link : JE.! UMEYASIKIA MAKUBWA YA MANCHESTER UNITED.?

soma pia


JE.! UMEYASIKIA MAKUBWA YA MANCHESTER UNITED.?

Manchester United kutangaza dau la usajili la pauni milioni 50 ili kumnasa kiungo kinda wa West Ham Declan Rice,20. (Irish Independent)

Rice, amesema kujiunga na West Ham ulikuwa uamuzi bora kabisa aliowahi kuufanya baada ya Chelsea kumtema akiwa na miaka 14. (Standard)

Beki wa kushoto wa Ajax Nicolas Tagliafico, 26, amesema kuwa mwisho wa msimu huu utakuwa ni muda muafaka wa kuhamia kwenye Ligi ya Premia. Beki huyo raia wa Argentina anawindwa na Arsenal. (Mirror)

Kocha msaidizi wa Manchester United Mike Phelan amesema kiungo wa klabu hiyo Paul Pogba, 26, "bado hajamaliza kazi yake" na anamtaka mchezaji huyo kusalia Old Trafford. (Telegraph).



Hivyo makala JE.! UMEYASIKIA MAKUBWA YA MANCHESTER UNITED.?

yaani makala yote JE.! UMEYASIKIA MAKUBWA YA MANCHESTER UNITED.? Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JE.! UMEYASIKIA MAKUBWA YA MANCHESTER UNITED.? mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/je-umeyasikia-makubwa-ya-manchester.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JE.! UMEYASIKIA MAKUBWA YA MANCHESTER UNITED.?"

Post a Comment

Loading...