Loading...
title : CRDB YAWAKARIBISHA WATEJA WAKE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
link : CRDB YAWAKARIBISHA WATEJA WAKE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
CRDB YAWAKARIBISHA WATEJA WAKE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza na waandhi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ushiriki wa Benki hiyo katika maonyesho ya Biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam maarufu kama “Maonyesho ya Sabasaba”, yanayotarajiwa kuanza Juni 28, 2017 mpaka Julai 08, 2017 katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Kurasini, Jijini Dar es Salaam.
Benki ya CRDB imeahidi kushiriki kikamilifu na tutatoa huduma zote za kibenki kupitia “mobile branch” ambalo ni tawi kamili linalotembea na lenye uwezo wa kutoa huduma zote za kibenki za kutoa, kupokea na kutuma fedha, kununua fedha za kigeni na kupokea hundi, Hivyo Benki hiyo inawakaribisha wateja wake wote kutembelea tawi hilo.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu .
Hivyo makala CRDB YAWAKARIBISHA WATEJA WAKE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
yaani makala yote CRDB YAWAKARIBISHA WATEJA WAKE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CRDB YAWAKARIBISHA WATEJA WAKE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/crdb-yawakaribisha-wateja-wake-katika.html
0 Response to "CRDB YAWAKARIBISHA WATEJA WAKE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA"
Post a Comment