Loading...
title : JUVICUF UDSM WAPATA NASAHA ZA VIONGOZI WA KITAIFA WA CUF
link : JUVICUF UDSM WAPATA NASAHA ZA VIONGOZI WA KITAIFA WA CUF
JUVICUF UDSM WAPATA NASAHA ZA VIONGOZI WA KITAIFA WA CUF
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizungumza na Vijana wa JUVICUF Tawi la chuo kikuu cha Dar es Salaam katika mkutano wao uliofanyika katika hoteli ya Vinna Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa Chama cha Wananchi CUF , julius Mtatiro akizungumza na Vijana wa JUVCUF Tawi la Chuo Kikuu juu ya umuhimu wa kujenga chama
Mbunge Viti Maalum CUF ,Sevelina Mwijage akizungumza na Vijana wa JUVCUF tawi la Mlimani mara baada ya kuchangia shilingi laki tano za ujenzi wa ofisi
Vijana wa JUVCUF Tawi la Mlimani wakishangilia mara baada ya kuwasikiliza viongozi wa chama hicho katika mkutano wa mkuu uliofanyika katika ukumbi wa Vinna Hotel
Hivyo makala JUVICUF UDSM WAPATA NASAHA ZA VIONGOZI WA KITAIFA WA CUF
yaani makala yote JUVICUF UDSM WAPATA NASAHA ZA VIONGOZI WA KITAIFA WA CUF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JUVICUF UDSM WAPATA NASAHA ZA VIONGOZI WA KITAIFA WA CUF mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/juvicuf-udsm-wapata-nasaha-za-viongozi.html
0 Response to "JUVICUF UDSM WAPATA NASAHA ZA VIONGOZI WA KITAIFA WA CUF"
Post a Comment