Loading...

MZEE WA MIAKA 71 AKUTWA NA NYARAKA BANDIA ZA SERIKALI .

Loading...
MZEE WA MIAKA 71 AKUTWA NA NYARAKA BANDIA ZA SERIKALI . - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MZEE WA MIAKA 71 AKUTWA NA NYARAKA BANDIA ZA SERIKALI ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MZEE WA MIAKA 71 AKUTWA NA NYARAKA BANDIA ZA SERIKALI .
link : MZEE WA MIAKA 71 AKUTWA NA NYARAKA BANDIA ZA SERIKALI .

soma pia


MZEE WA MIAKA 71 AKUTWA NA NYARAKA BANDIA ZA SERIKALI .

. ALIKUWA NI MTUMISHI WA SERIKALI OFISI YA MKUU WA WILAYA -MOSHI
. AKUTWA NA VYETI 240 NA MIHURI 159.
. RPC KILIMANJARO ATAKA WALIOCHONGEWA VYETI NA MZEE HUYO KUJISALIMISHA.

Na Dixon Busagaga ,Moshi

JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mzee wa miaka 71 na watu wengine watatu baada ya kukutwa na Nyaraka  bandia za serikali  240 ambazo wamekua wakiziandaa kwa njia ya udanganyifu pamoja na Mihuri 159 na kuuzwa kwa bei ya Sh 20,000.

Nyaraka zilizo kamatwa ni pamoja na Vyeti vya kuzaliwa ,vyeti vya ndoa ,vyeti vya ubatizo,vyeti vya Kliniki na matamko ya vizazi na vifo pamoja na mihuri mbalimbali miongoni mwao ikionyesha ni ile inayotumika wakati wa usajili vizazi na vifo katika manispaa ya Moshi na Kitete mkoani Tabora.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishana Msaidizi wa Polisi,Hamisi Issa alisema vifaa vingine vilivyo kamatwa ni pamoja na Mashine moja ya kuandikia (Type Writer) na kifaa cha kuwekea namba huku akiwataja watuhumiwa kuwa ni pamoja na Athuman Selemani (71) anayetajwa kuwa aliwahi kuwa mtumishi wa serikali katika ofisi ya mkuu wa wilaya .

Wengine ni Justine Mziray (55) anayetajwa kuwa ni mtaalamu wa kuchonga mihuri,Sporah Daud anayetajwa kushiriki katika uandaaji wa nyaraka hizo kwa kuchapa maandishi kwa kutumia mashine maalumu (Type writer) na Costa Lyatuu  anayetajw kuwa mtaalamu wa kughushi sahihi.
 Sehemu ya nyaraka  mbalimbali za bandia zilizokutwa kwa mtuhumiwa huyo.
 JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mzee wa miaka 71 na watu wengine watatu baada ya kukutwa na Nyaraka  bandia za serikali  240 ambazo wamekua wakiziandaa kwa njia ya udanganyifu pamoja na Mihuri 159 na kuuzwa kwa bei ya Sh 20,000.
 Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishana Msaidizi wa Polisi,Hamisi Issa akionesha baadhi ya mihuri iliyokutwa kwa mtuhumiwa huyo
 Mihuri iliyokuwa ikitumika
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishana Msaidizi wa Polisi,Hamisi Issa akionesha baadhi ya mashine aliyokuwa akitumia mtuhumiwa huyo kutengenezea nyaraka bandia za serikali


Hivyo makala MZEE WA MIAKA 71 AKUTWA NA NYARAKA BANDIA ZA SERIKALI .

yaani makala yote MZEE WA MIAKA 71 AKUTWA NA NYARAKA BANDIA ZA SERIKALI . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MZEE WA MIAKA 71 AKUTWA NA NYARAKA BANDIA ZA SERIKALI . mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mzee-wa-miaka-71-akutwa-na-nyaraka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MZEE WA MIAKA 71 AKUTWA NA NYARAKA BANDIA ZA SERIKALI ."

Post a Comment

Loading...