Loading...
title : Maandalizi ya Ujenzi wa Mabanda ya Viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja Kukamilika Zenj.
link : Maandalizi ya Ujenzi wa Mabanda ya Viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja Kukamilika Zenj.
Maandalizi ya Ujenzi wa Mabanda ya Viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja Kukamilika Zenj.
Ujenzi wa mabanda kwa ajili ya wafanyabiashara katika viwanja vinavyotarajiwa kusherehekea sikukuu ya Eid el Fitry baada ya mfungo w Mwezi wa Ramadhani kumalizika mwishoni mwa wiki hii yamekamilika kutoka kwa baraza la manispa zanzibar kufanikisha ujenzi huo. Unaofanywa na kampuni ya Africana. Mabanda hayo hukodishwa kwa siku nne kwa shilingi 80,000/= na 70,000/= kutegemea biashara unayofanya.Hivyo makala Maandalizi ya Ujenzi wa Mabanda ya Viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja Kukamilika Zenj.
yaani makala yote Maandalizi ya Ujenzi wa Mabanda ya Viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja Kukamilika Zenj. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maandalizi ya Ujenzi wa Mabanda ya Viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja Kukamilika Zenj. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/maandalizi-ya-ujenzi-wa-mabanda-ya.html
0 Response to "Maandalizi ya Ujenzi wa Mabanda ya Viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja Kukamilika Zenj."
Post a Comment