Loading...

Kocha wa Jamhuri akiri kwamba ligi bado ngumu

Loading...
Kocha wa Jamhuri akiri kwamba ligi bado ngumu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kocha wa Jamhuri akiri kwamba ligi bado ngumu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kocha wa Jamhuri akiri kwamba ligi bado ngumu
link : Kocha wa Jamhuri akiri kwamba ligi bado ngumu

soma pia


Kocha wa Jamhuri akiri kwamba ligi bado ngumu

Kocha Mkuu wa timu ya Jamhuri, Abdulmutik Haji (Kiduu), ambae ana Leseni "A" alipokuwa akizungumza na waandishi baada ya moja ya mechi waliocheza uwanja wa Amaan

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Kocha Mkuu wa timu ya Jamhuri, Abdul mutik Haji (Kiduu), amekiri ligi kuu ya Zanzibar hatua ya 8 bora ni ngumu na kwamba hadi sasa na hakuna timu ambayo imejihakikishia kutwaa ubingwa wa ligi hiyo inayofikia tamati Jumapili ya 20/8/2017.

Kiduu amesema licha ya timu yake kuongoza lakini bado ligi mbichi na timu zote 8 zina nafasi lakini atapigana kuhakikisha timu yake inaendelea kuongoza hadi mwisho wa ligi hiyo.

“Bado ligi ni ngumu mno, timu yoyote ina nafasi ya kutwaa ubingwa, mimi kubwa ntahakikisha naendelea kuongoza mpaka mwisho”. Alisema Kiduu.

Jamhuri ndie kinara wa ligi kuu soka ya Zanzibar hatua ya 8 bora akiwa na alama 12 akipata ushindi michezo yote 4 baada ya awali kuwafunga Mwenge mabao 3-2, kisha kuwachapa Okapi 3-0, wakaendelea kuwapiga Kizimbani 3-0 na juzi tu wakawamaliza Zimamoto kwa mabao 2-1.

Jamhuri watashuka tena Dimbani Ijumaa ya July 14, 2017 dhidi ya Taifa ya Jang’ombe saa 10 za jioni katika uwanja wa Amaan.


Hivyo makala Kocha wa Jamhuri akiri kwamba ligi bado ngumu

yaani makala yote Kocha wa Jamhuri akiri kwamba ligi bado ngumu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kocha wa Jamhuri akiri kwamba ligi bado ngumu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/kocha-wa-jamhuri-akiri-kwamba-ligi-bado.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kocha wa Jamhuri akiri kwamba ligi bado ngumu"

Post a Comment

Loading...