Loading...

BALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI

Loading...
BALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI
link : BALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI

soma pia


BALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahya akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Wadau wa Usalama Barabarani, kinachojadili mabadiliko ya Sheria ya Usalama Barabarani. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa wizara, Joyce Momburi na Kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Japhet Lusingu.Kikao hicho kinafanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Joyce Momburi, akizungumza na wadau mbalimbali wa Usalama Barabarani (hawapo pichani), wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Wadau wa Usalama Barabarani, kinachojadili mabadiliko ya Sheria ya Usalama Barabarani. Wengine ni Kamishna Msaidizi, Japhet Lusingu (kulia), Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Balozi Hassan Simba Yahya (watatu kulia) na Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Theopista Mallya. Kikao hicho kinafanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam.
Mwanasheria wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Deus Sokoni, akisoma vifungu vya Sheria ya Usalama Barabarani mbele ya wadau mbalimbali wa Usalama Barabarani (hawapo pichani), wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Wadau wa Usalama Barabarani, kinachojadili mabadiliko ya Sheria ya Usalama Barabarani. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Joyce Momburi na kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Theopista Mallya.Kikao hicho kinafanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam.
Mdau wa Usalama Barabarani, Henry Bantu, akitoa Historia ya Baraza la Usalama Barabarani wakati Kikao cha Wadau wa Usalama Barabarani, kinachojadili mabadiliko ya Sheria ya Usalama Barabarani.Kikao hicho kinafanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam.


Hivyo makala BALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI

yaani makala yote BALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/balozi-simba-afungua-kikao-cha-wadau.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI"

Post a Comment

Loading...