Loading...

SHIELD OUR WATOTO'S FAMILY PICNIC & COOKOUT EVENT YAFANA WESTERVILLE, OHIO

Loading...
SHIELD OUR WATOTO'S FAMILY PICNIC & COOKOUT EVENT YAFANA WESTERVILLE, OHIO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIELD OUR WATOTO'S FAMILY PICNIC & COOKOUT EVENT YAFANA WESTERVILLE, OHIO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIELD OUR WATOTO'S FAMILY PICNIC & COOKOUT EVENT YAFANA WESTERVILLE, OHIO
link : SHIELD OUR WATOTO'S FAMILY PICNIC & COOKOUT EVENT YAFANA WESTERVILLE, OHIO

soma pia


SHIELD OUR WATOTO'S FAMILY PICNIC & COOKOUT EVENT YAFANA WESTERVILLE, OHIO

Nyuku vikiwa vipo tayari kwenye picnic ya familia na nyama choma iliyoandaliwa na Shield Our Watoto siku ya Jumamosi Oktoba 7, 2017 Westerville, Ohio. SOW ni oganaizesheni iliyoanzishwa na Bhoke Kirigiti akishirikiana na mumewe PeterKirigiti inayotetea watoto kutokana na unyanyasaji hasa watoto wa kike inapowapigania hasa unyanyasaji wa kingono chini ya umri mdogo. Oganaizesheni hii hushirikiana na wazazi wa watoto na watu mbalimbali wakiwemo watoa elimu ya unyanyaswaji wa watoto wakishirikiana na mashirika mbalimbali yasiyokua ya Kiserikali. Shield Our Watoto hutoa elimu ya bure kwa wazazi na watoto kuhusiana na unyanyasaji  wa kijinsia wanaofanyiwa watoto wenye umri ndogo ambao kati ya watoto 3 kati ya 10 wamekua wakiathirika kisaikolojia kutokana unyanyasaji huo
Peter Kirigiti pamoja na mkewe Bhoke Kirigiti wakielezea Shield Our Watoto (SOW) kwa wadu waliohudhuria family picnic na nyama choma siku ya Jumamosi Oktoba 7, 2017 Westerville, Ohio.

Wadau mbalimbali waliojumuika kwenye nyama choma hiyo wakiwasikiliza PeterKirigiti na mkeweBhoke Kirigiti.

Clara James mwandishi wa kitabu cha There's Beauty Inside akielezea unyanyasaji wa watoto hasa kwa mtoto wa kike unawezaje kuathiri saikolojia katika maisha yake

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SHIELD OUR WATOTO'S FAMILY PICNIC & COOKOUT EVENT YAFANA WESTERVILLE, OHIO

yaani makala yote SHIELD OUR WATOTO'S FAMILY PICNIC & COOKOUT EVENT YAFANA WESTERVILLE, OHIO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIELD OUR WATOTO'S FAMILY PICNIC & COOKOUT EVENT YAFANA WESTERVILLE, OHIO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/shield-our-watotos-family-picnic.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIELD OUR WATOTO'S FAMILY PICNIC & COOKOUT EVENT YAFANA WESTERVILLE, OHIO"

Post a Comment

Loading...