Loading...

MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR

Loading...
MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR
link : MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR

soma pia


MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR

 Mkuu wa Takwimu za Bei Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham akitoa maelezo kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.9 kwa Mwezi wa Disemba 2017 hadi asilimia 5.2 kwa mwezi wa January 2018 hafla iliofanyika Ofisi kuu ya Takwimu  Mazizini Mjini Unguja.
 Meneja wa Uchumi wa Benki ya Tanzania Tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Lugobi katikati akitoa ufafanuzi wa Baadhi ya maswala yaliouliza na katika hafla ya  kutoa Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.9 kwa Mwezi wa Disemba 2017 hadi asilimia 5.2 kwa mwezi wa January 2018 hafla iliofanyika Ofisi kuu ya Takwimu  Mazizini Mjini Unguja.kulia yake ni Mkuu wa Takwimu za Bei Zanzibar Khmis Abdul-rahman Msham na kushoto ni Mhadhiri wa Uchumi SUZA Dk, Suleiman Simai Msaraka.
Meneja Msaidizi Uchumi Benki kuu ya Tanzania Tawi la Zanzibar Deagratias Philip Mache akijibu baadhi ya maswala yalioulizwa  katika hafla ya kutoa Takwimu za Bei katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya Takwimu  Mazizini Mjini Unguja.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya kutoa Takwimu za Bei katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya Takwimu  Mazizini Mjini Unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR

yaani makala yote MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mkuu-wa-takwimu-atoa-takwimu-za-bei.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...