Loading...
title : NAIBU WAZIRI AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI
link : NAIBU WAZIRI AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI
NAIBU WAZIRI AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI
Mwishoni mwa wiki Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ametembelea na kukagua utekelezaji wa Miradi ya umeme vijijini (REA II & REA III) kwenye jumla ya vijiji 18 katika wilaya za ROMBO, MWANGA NA SAME Mkoani Kilimanjaro.
Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliongea na wananchi, pia kutambulisha wakandarasi wa miradi ambapo aliwaagiza wakandarasi waepuke kurudia makosa yaliyojitokeza awali na kuhakikisha wanakamilisha kazi ndani ya muda uliopangwa.
Pia Katika ziara hiyo Mh. Naibu waziri alitembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYUMBA YA MUNGU kujionea shughuli za uzalishaji.Naibu waziri amemaliza ziara yake Januari 26/2018 na kuelekea jijini TANGA.




Hivyo makala NAIBU WAZIRI AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI
yaani makala yote NAIBU WAZIRI AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/naibu-waziri-afanya-ziara-kukagua.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI"
Post a Comment