Loading...
title : ABDULLAH AID YA MWAGA MSAADA YA MILIONI 50, KWA WANANCHI KIWALANI.
link : ABDULLAH AID YA MWAGA MSAADA YA MILIONI 50, KWA WANANCHI KIWALANI.
ABDULLAH AID YA MWAGA MSAADA YA MILIONI 50, KWA WANANCHI KIWALANI.
Na John Luhende
Mwamba wa habari
Taasisi ya Abdalah Aid ya jijini Dar es salaam, imetoa msaada wa vitumbalimbali vyenyethamani ya shilingi million 50 kwa watu zaid ya 120, ikiwemo Baiskael za walemavu,gari aina ya Suzuki Carry ,Mashineza kuchomea mahindi bisi,vyerehani Mashine ya kumwagilia bustani ( Water pum) na Bajaji iliyo tolewa kwa mtu asiyejiweza.
Akizungumza kwa niaba ya Manispaa ya Ilala Nainbu Meya wa manispaa hiyo Omary Kumbilamoto ameishukuru taasisi hiyo kwani imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Ilala kwani hata wakati wa maafa ya mafuriko ilkuwa mstari wambele katika kutoa msaada.
‘’Nikupongeze sana Shekhe Arif na taasisi yako umekuwa msada sana kwa wananchi wa Ilala nakumbuka hata wakati wa mafuri ulito vyakula na magodoro yaliasaidia sana watu wetu naleo nimejifunza kwako na sisi halmashauri n tuta fikiria kuwapa Bajiji vijana katika mikopo tunayo wakopesha ili wakazalisha endela na moyo huo Mungu atakulipa kwa kuwajali wenye shida “alisema kumbilamoto.
Kwa upande wake mwenyekiti wa taasisi hiyo Arif Yusuf Abdullah,amesema msaada huo umetolewa kwa kushirikiana na Taasisi hiyo ya nchini Uingereza na taasis ya AL-IMDAD ya nchini Uingereza na Africa kusini , na kwamba wataendelea kuwa saidia watanzania wenye hali duni ili nao waeze kujisaidia.
“Tumefikiria leo kutoa vitu ambavyo vitaweza kuwasaidia katika maisha yao badala ya fedha ambazo haziwezi kuwa saidia kwa chochote”
Hafla ya kugawa misaada hiyo pia imehudhuriwa na Mbunge wa Ilala Mhe.Azan Zungu ambapo kwa upande wake ameishukuru taasisi hiyo na kusema kwa Tanzania iko imara kiuchumi na misaada kama hiyo inasaidia kuongeza uimarahuo kwa wananchi wake,
Nao baadhi ya wananchi walipata msaada huo wameshukuru kupewa msaada wa vitu hivyo na kwamba vitawasidia kujikimu kimasha na watawaombea kwa Mwenyezi Mungu awazidishie wale wote waliojitoa katika kufanikisha kupatikana kwa vitu hivyo.
Hivyo makala ABDULLAH AID YA MWAGA MSAADA YA MILIONI 50, KWA WANANCHI KIWALANI.
yaani makala yote ABDULLAH AID YA MWAGA MSAADA YA MILIONI 50, KWA WANANCHI KIWALANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ABDULLAH AID YA MWAGA MSAADA YA MILIONI 50, KWA WANANCHI KIWALANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/abdullah-aid-ya-mwaga-msaada-ya-milioni.html
0 Response to "ABDULLAH AID YA MWAGA MSAADA YA MILIONI 50, KWA WANANCHI KIWALANI."
Post a Comment