Loading...

KAMATI YA SAA 72 YAWAFUNGIA WACHEZAJI LIGI KUU

Loading...
KAMATI YA SAA 72 YAWAFUNGIA WACHEZAJI LIGI KUU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA SAA 72 YAWAFUNGIA WACHEZAJI LIGI KUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA SAA 72 YAWAFUNGIA WACHEZAJI LIGI KUU
link : KAMATI YA SAA 72 YAWAFUNGIA WACHEZAJI LIGI KUU

soma pia


KAMATI YA SAA 72 YAWAFUNGIA WACHEZAJI LIGI KUU



Kamati ya saa 72 imewafungia wachezaji  wawili  huku wengine wakipelekwa katika kamati ya nidhamu na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania(TFF)

Wachezaji ambao wamefungiwa ni pamoja na Hassan Dilunga wa Simba na Ibrahim Job wa Lipuli  huku mchezaji wa Yanga Andrew Vicent ‘Dante’ na wengine ambao  majina yao hajabainishwa  wamepelekwa kwenye kamati ya nidhamu.

 Dilunga na Job wamefungiwa kutokana na wachezaji hao kuchelewa kutoka uwanjani wakati timu zikienda kwenye mapumziko kitendo ambacho sio sahihi wakati wenzao wakiwa vyumbani.

Kaimu Mtendaji wa Bodi ya Ligi, Ibrahim Mwayela amesema kuwa wachezaji wamesimamishwa kwa mechi tatu na wengine wamepelekwa kwenye kamati ya nidhamu.

“Dilunga na Job wamefungiwa mechi tatu na tayari wameanza kutumikia adhabu zao sababu klabu zilishaarifiwa na watalipa faini ya kiasi cha shilingi laki tano kila mmoja.

 “Wachezaji kama Vicent Andrew wa Yanga pamoja na viongozi wengine wamepelekwa  katika kamati ya nidhamu na hadhi za wachezaji kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu," alisema


Hivyo makala KAMATI YA SAA 72 YAWAFUNGIA WACHEZAJI LIGI KUU

yaani makala yote KAMATI YA SAA 72 YAWAFUNGIA WACHEZAJI LIGI KUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA SAA 72 YAWAFUNGIA WACHEZAJI LIGI KUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/kamati-ya-saa-72-yawafungia-wachezaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMATI YA SAA 72 YAWAFUNGIA WACHEZAJI LIGI KUU"

Post a Comment

Loading...