Loading...
title : JK AHANI MSIBA WA RUGE MUTAHABA MIKOCHENI JIJINI DAR LEO
link : JK AHANI MSIBA WA RUGE MUTAHABA MIKOCHENI JIJINI DAR LEO
JK AHANI MSIBA WA RUGE MUTAHABA MIKOCHENI JIJINI DAR LEO
Rais wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Kikwete akitia saini daftari la waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji Vipindi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba aliyefariki Nchini Afrika Kusini,Pichani kushoto ni Mke wa Rais Mstaafu Salma Kikwete na kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza na
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiingia katika Msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji Vipindi wa Clouds Ruge Mutahaba aliyefariki Nchini Afrika Kusini.
Baadhi ya wabunge na viongozi wa kisiasa waliofika siku ya leo katika Msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi wa Clouds Ruge Mutahaba aliyefariki Nchini Afrika Kusini.
Baadhi ya vijana wa THT wakiimba wimbo wa uombolezaji katika msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi wa Clouds Ruge Mutahaba aliyefariki Nchini Afrika Kusini
Picha ya vijana wa THT wakiimba wimbo wa uombolezaji katika msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Ruge Mutahaba aliyefariki Nchini Afrika Kusini.
Hivyo makala JK AHANI MSIBA WA RUGE MUTAHABA MIKOCHENI JIJINI DAR LEO
yaani makala yote JK AHANI MSIBA WA RUGE MUTAHABA MIKOCHENI JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JK AHANI MSIBA WA RUGE MUTAHABA MIKOCHENI JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/jk-ahani-msiba-wa-ruge-mutahaba.html
0 Response to "JK AHANI MSIBA WA RUGE MUTAHABA MIKOCHENI JIJINI DAR LEO"
Post a Comment