Loading...
title : WAZIRI MWAKYEMBE AMLILIA MKE WAKE
link : WAZIRI MWAKYEMBE AMLILIA MKE WAKE
WAZIRI MWAKYEMBE AMLILIA MKE WAKE
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Harisson Mwakyembe akilia juu ya jeneza la Mke wake Marehemu Linah Mwakyembe wakati wa kuaga mwili huo nyumbani kwake Kunduchi, Jijini Dar es Salaam mapema leo ambapo baadaye mwili huo ulisafirishwa kwenda Kyela, Mbeya kwa ajili ya mazishi.
Ibada ya kuombea mwili wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe ikiendelea katika kanisa la KKKT Kunduchi, Dar es Salaam kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda kyela, Mbeya kwa ajili ya mazishi.
Picha na Ofisi ya Bunge
Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE AMLILIA MKE WAKE
yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE AMLILIA MKE WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE AMLILIA MKE WAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-mwakyembe-amlilia-mke-wake.html
0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE AMLILIA MKE WAKE"
Post a Comment