Loading...

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo

Loading...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo
link : Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo

soma pia


Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo

Madakatati Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) wakati wa kambi maalum ya upasuaji ya siku sita inayoendelea katika Taasisi hiyo. Hadi sasa jumla ya wagonjwa sita wameshafanyiwa upasuaji wa CABG na kubadilishiwa milango ya moyo (Valve) ambapo hali zao zinaendelea vizuri.
Madakatati Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) wakati wa kambi maalum ya siku sita ya upasuaji wa moyo inayoendelea katika Taasisi hiyo.
Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakiendelea na kazi ya kumfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) . Jumla ya wagonjwa 18 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo katika kambi maalum ya upasuaji wa moyo ya siku inayoendelea katika Taasisi hiyo. Picha na JKCI.


Hivyo makala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo

yaani makala yote Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/taasisi-ya-moyo-jakaya-kikwete-jkci-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya nchini India wanatarajia kuwafanyia upasuaji wagonjwa 18 wenye matatizo ya Moyo"

Post a Comment

Loading...