Loading...
title : Picha mbalimbali katika ukaguzi wa mabasi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
link : Picha mbalimbali katika ukaguzi wa mabasi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
Picha mbalimbali katika ukaguzi wa mabasi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
Mkurugenzi wa Barabara wa Mamlaka ya Usafiri wa nchi Kavu na Majini (Sumatra) Johansen Kahatano akizungumza na Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Ibrahimu Samwix wakati ukaguzi wa mabasi ya mikoani na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Barabara wa Mamlaka ya Usafiri wa nchi Kavu na Majini (Sumatra) Johansen Kahatano akipata maelezo kwa Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Ibrahimu Samwix wakati ukaguzi wa mabasi ya mikoani na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Ibrahim Samwix wakiwa katika ukaguzi wa mabasi ya mikoani na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Ibrahim Samwix akiwa katika uvungu basi wakati akifanya ukaguzi wa mabasi ya mikoani na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Dereva akipata maelekezo na askari aliyechini ya uvungu ya basi wakati akifanyiwa ukaguzi wa mabasi ya mikoani na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Grant Pawa akimpa maelekezo fundi wa basi wakati akifanyiwa ukaguzi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nuru Seif akimpa maelekezo fundi wa basi wakati akifanyiwa ukaguzi wa basi atika kituo kikuu cha katika mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.( Picha zote na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii)
Hivyo makala Picha mbalimbali katika ukaguzi wa mabasi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
yaani makala yote Picha mbalimbali katika ukaguzi wa mabasi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Picha mbalimbali katika ukaguzi wa mabasi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/picha-mbalimbali-katika-ukaguzi-wa.html
0 Response to "Picha mbalimbali katika ukaguzi wa mabasi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo"
Post a Comment