Loading...
title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MTWARA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MTWARA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MTWARA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara akiwa njiani kwenda Ruangwa, Desemba 30, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Dkt. Jilly Elibariki Maleko wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara akiwa njiani kwenda Ruangwa, Desemba 30, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa, watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bibi Rehema Madenge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na viongozi wa mkoa wa Mtwara wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara akiwa njiani kwenda Ruangwa, Desemba 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MTWARA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MTWARA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MTWARA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-awasili.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MTWARA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA"
Post a Comment